ZIFUATAZO NI NISHATI MBALIMBALI
1.Mkaa
2.Bioethanal
3.Gas asilimia
4.LPG
5.Majiko banifu
6.Nishati ya jua
7.Umeme
8.hydrojeni_green hydrogen
ATHARI ZA NISHATI ZISIZO SAFI
Zipo athari mbalimbali za kutumia nishati chafu kamaifuatavyo:
MAZINGIRA
Mazingira takribani hekta 460,000 kwa mwaka zina halibiwa kwa kukata kuni na mkaa hivyo kusababisha jangwa .
Mabadiliko ya kiikolojia ambayo husababish akupotea kwa viumbe hai mbalimbali.
KIAFYA
Kiafya takwimu ya watu 33,000 hupoteza Maisha kwa mwaka kwa sababu ya kutumia nishati isiyo safi
Magonjwa sugu kama saratani ya mapafu, kuharibika kwa ujauzito,kujifungua kabla ya wakati au kujifungua Watoto wenye athari za kiafya
kuugua magonjwa ya macho
KIJAMII
1. Upotezaji wa muda hivyo kuathiri maendereo ya kiuchumi
2. kukosamuda wa kushiriki shuguli za kijamii na kisiasa
3. Watoto kupoteza muda mwingi wa kujisomea
4. kujeruhiwa na Wanyama wakali
MKAKATI WA KITAIFA WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA 2024-2025
Mkakati huu unatoa mwelekeo wa nchi wa matumizi ya nishati ya kupikia 8/5/2024 mkakati huu ulizuiliwa mh .dkt samia Suluhu Hassani mwenye alizindua kufikia asilimia 80% ya watanzania ifikapo 2034 wawe wanatumia nishati safi
kutakua na mpango jumuishi katika kupambana na uhalibifu wa mazingira Pamoja na athari za kiafya ,kiuchumi na kijamii
MAANDALIZI YA MAKAKATI
Kutokana na maelekezo ya mh.Rais 1/11/2022 alitoa maelekezo hayo _ 8/5/2024 alizindua
kama maafisa wa dawatikimkoa almashauri Pamoja na wizara zitakaposimamia viseme tuaweza tukavuka 80%
tovuti za wizara ya nishati mkakati huu unapatikana kwa ligha zaidi ya moja