24 Julai 2025

TANZANIA NA NISHAFI SAFI YA KUPIKIA

Nishati safi ya kupikia ni nini? Nishati safi ya kupikia ni nishati yenye viwango vya chini sana vya uzalishaji wa uchafuzi inapochomwa . Mifano ni pamoja na biogas, LPG, umeme, ethanol, gesi asilia, na nishati ya jua (BLEENS)
ZIFUATAZO NI NISHATI MBALIMBALI
1.Mkaa
2.Bioethanal
3.Gas asilimia
4.LPG
5.Majiko banifu
6.Nishati ya jua
7.Umeme
8.hydrojeni_green hydrogen
ATHARI ZA NISHATI ZISIZO SAFI
Zipo athari mbalimbali za kutumia nishati chafu kamaifuatavyo:

MAZINGIRA
Mazingira takribani hekta 460,000 kwa mwaka zina halibiwa kwa kukata kuni na mkaa hivyo kusababisha jangwa .
Mabadiliko ya kiikolojia ambayo husababish akupotea kwa viumbe hai mbalimbali.


KIAFYA
Kiafya takwimu ya watu 33,000 hupoteza Maisha kwa mwaka kwa sababu ya kutumia nishati isiyo safi Magonjwa sugu kama saratani ya mapafu, kuharibika kwa ujauzito,kujifungua kabla ya wakati au kujifungua Watoto wenye athari za kiafya kuugua magonjwa ya macho


KIJAMII
1. Upotezaji wa muda hivyo kuathiri maendereo ya kiuchumi
2. kukosamuda wa kushiriki shuguli za kijamii na kisiasa
3. Watoto kupoteza muda mwingi wa kujisomea
4. kujeruhiwa na Wanyama wakali


MKAKATI WA KITAIFA WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA 2024-2025
Mkakati huu unatoa mwelekeo wa nchi wa matumizi ya nishati ya kupikia 8/5/2024 mkakati huu ulizuiliwa mh .dkt samia Suluhu Hassani mwenye alizindua kufikia asilimia 80% ya watanzania ifikapo 2034 wawe wanatumia nishati safi kutakua na mpango jumuishi katika kupambana na uhalibifu wa mazingira Pamoja na athari za kiafya ,kiuchumi na kijamii


MAANDALIZI YA MAKAKATI
Kutokana na maelekezo ya mh.Rais 1/11/2022 alitoa maelekezo hayo _ 8/5/2024 alizindua kama maafisa wa dawatikimkoa almashauri Pamoja na wizara zitakaposimamia viseme tuaweza tukavuka 80% tovuti za wizara ya nishati mkakati huu unapatikana kwa ligha zaidi ya moja

11 Desemba 2023

MAJINA YA WANAFUNZI WATAKAO JIUNGA NA VYUO VYA UFUNDI VETA 2024

Hatimaye Veta yatangaza rasmi majina ya wanafunzi watakao jiunga na mafunzo ya ufundi stadi kwa hawamu ya kwanza kwa muhula wa masomo 2024

Bonyeza hapa

01 Desemba 2022

VETA IRINGA MAHAFALI YA 26 KARIBUNI SANA

 

Leo veta Iringa inasherehekea mahafali ya 26 tangu kuanza kwa chuo hicho.

Hivyo ndugu, jamaa, marafiki majirani wote mnapatikana maeneo ya karibu tunawakaribisha katika washa hii.

Njoo ujionee vipaji mbalimbali, mambo mbalimbali ambayo wanafunzi wamejifunza kupitia chuo cha Veta Iringa.

Ratiba ni kuanzia asubuhi.

Come and testify yourself how young Engineers Celebrating.

MATOKEO !!!!! MATOKEO !!! MATOKEO DARASA LA SABA KWA MWAKA 2022 SASA YAMETOKA ANGALIA HAPA

 

MATOKEO !!!!! MATOKEO !!! 

MATOKEO DARASA LA SABA KWA MWAKA 2022 SASA YAMETOKA 

TAZAMA HAPA MATOKEO MIKOA YOTE TANZANIA

>>>>>>>Bonyeza hapa kuangalia <<<<<<<<<

31 Mei 2022

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MDA



 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA YATANGAZA NAFASI 2057 KWA NAFASI MBALIMBALI

👉Bonyeza hapa kuangalia👈

👉Login to apply👈

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728