29 Aprili 2021

ASSISTANT LECTURER – COMMUNITY DEVELOPMENT - 1 POST TENGERU INSTITUTE

 

Employer: Tengeru Institute of Community Development (TICD)

ASSISTANT LECTURER - ENTREPRENEURSHIP - 1 POST TENGERU INSTITUTE

 

Employer: Tengeru Institute of Community Development (TICD)

ASSISTANT LECTURER – LIBRARY AND INFORMATION MANAGEMENT SYSTEM(RE-ADVERTISED) - 1 POST MWALIMU NYERERE

 

Employer: The Mwalimu Nyerere Memorial Academy (MNMA)

ASSISTANT TECHNICIAN II (PLUMBER) - 3 POST TABORA URBAN WATER SUPPLY AND SEWERAGE AUTHORITY(TUWASA)

 

Employer: TABORA URBAN WATER SUPPLY AND SEWERAGE AUTHORITY(TUWASA)


INSTRUCTOR II (MECHANICAL) - 1 POST ARUSHA TECHNICAL COLLEGE

 

Employer: Arusha Technical college ATC


INSTRUCTOR II (ELECTRICAL). - 1 POST ARUSHA TECHNICAL COLLEGE

Employer: Arusha Technical college ATC


22 Aprili 2021

TANGAZO LA KUITWA KAZINI SEREKALINI KATIKA TAASISI MBAMBALI APRILI, 2021 22-04-2021

TANROADS, TANESCO, MBEYA UNIVERSITY (MUST), MZUMBE UNIVERSITY (MU), PANGANI HYDRO, UBUNGO UMEME PARK, KINYEREZI GAS PLANT, KIHANSI HYDRO PLANT NANYINGINE NYINGI

Bonyeza hapa kuona majina

21 Aprili 2021

ASSISTANT TECHNICIAN II - 6 POST FITTER MECHANICS

 ASSISTANT TECHNICIAN II - 6 POST


Employer: MEDICAL STORES DEPARTMENT (MSD)

73 VACANCIES TANESCO NAFASI ZA KAZI TANESCO 2021

 





Employer: TANZANIA ELECTRIC SUPPLY COMPANY LIMITED (TANESCO)



Employer: TANZANIA ELECTRIC SUPPLY COMPANY LIMITED (TANESCO)


Employer: TANZANIA ELECTRIC SUPPLY COMPANY LIMITED (TANESCO)



Employer: TANZANIA ELECTRIC SUPPLY COMPANY LIMITED (TANESCO)



Employer: TANZANIA ELECTRIC SUPPLY COMPANY LIMITED (TANESCO)



Employer: TANZANIA ELECTRIC SUPPLY COMPANY LIMITED (TANESCO)



Employer: TANZANIA ELECTRIC SUPPLY COMPANY LIMITED (TANESCO)

TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOROGORO

 



20 Aprili 2021

TAZAMA MATOKEO YA VETA SASA YAMETOKA MSIMU WA MWAKA 2020

 

Tazama matokeo ya wahitimu veta mikoa yote Tanzania katika fani mbalimbali mingine ikifamya vizuri na minginge ikifanya vibaya.

Bonyeza hapa

13 Aprili 2021

SOURCES OF ENGINE NOISE

 SOURCES OF ENGINE NOISE

1) MISFIRING or BACKFIRING.
POSSIBLE CAUSES.
- Fuel in tank has wrong octane/cetane number, or is wrong type of fuel.
- Ignition system faulty.
- Engine temperature too high.
- Carbon deposits in the combustion chamber start to glow and cause misfiring.
- Timing incorrect, which causes misfiring in the intake/ exhaust system.
REQUIRED ACTION
- Determine which type of fuel was last put in the tank.
- Check the ignition system
- Check the engine cooling system
- Remove the carbon deposits by using fuel additives and driving the vehicle carefully
- Check the timing
2) VALVE TRAIN FAULTY.
POSSIBLE CAUSES.
- Valve clearance too large due to faulty bucket tappets or incorrect adjustment of valve clearance.
- Valve timing incorrectly adjusted valves and pistons are touching.
- Timing belt broken or damaged.
REQUIRED ACTION
- Adjust valve clearance if possible and
renew faulty bucket tappets – check cam
condition.
- Check the valve timing and adjust if necessary.
- Check timing belt and check pistons and
valves for damage – renew any faulty parts.
3) FAULTY ENGINE COMPONENTS.
POSSIBLE CAUSES.
- Pistons.
- Piston rings.
- Cylinder head gasket.
- Big-end and/or main bearing journals.
REQUIRED ACTION.
- Disassemble the engine and check
components.
4) ANCILLARY COMPONENTS
POSSIBLE CAUSES
- Engine components or ancillary components loose or broken.
REQUIRED ACTION.
- Check that all components are secure, tighten/ adjust as required. Renew if broken.









04 Machi 2021

PATA UFAHAMU: TUNDA NA JANI LA MPERA.


Mperera ni mti maarufu kwa matunda yake, ila wengi wetu huenda hatujui faida zinginezo; zinatokana na mti huu wa matunda, aliyotujalia Mungu Baba kama ilivyo katika mapenzi Yake.
IMEANDIKWA: Mungu akasema,
“Tazama, nimewapa kila mche utoao mbegu, ulio juu ya uso wa nchi yote pia, na kila mti, ambao matunda yake yana mbegu; vitakuwa ndivyo chakula chenu;”.... 📖» MWANZO 1:29
KIPEKEE; Matunda na majani ya mti wa mpera vina vitamini C kwa wingi, huku ikiambatana na madini ya potassium kwa asilimia chache 15%.
Kutokana na sifa tajwa, basi fahamu kuwa iwapo ukikosa tunda la pera unaweza kutumia majani yake kama m’badala; ili kujipatia faida za asili, zinazotokana na mpera kwa faida ya afya ya mwili wako. Nami nimekuja nikudokeze japo kwa ufupi, faida za matunda na majani ya mpera; iwapo utabarikiwa kuwa nayo karibu.
Kutokana na sifa ya vitamini C & madini tajwa yaliyomo ndani yake, tunda la pera pamoja na majani yake; yanasaidia sana ustawi na uimara wa mifupa ya mwili wako, huku yakiwa pia na uwezo/neema ya kuchochea pia kinga ya mwili
Ila tambua katika tunda lake, utapata madini ya potassium zaidi kuliko vitamini C; hii ni kwa sababu ya mbegu za mpera, zimebeba madini husika kwa asilimia kubwa kuliko vitamini C. Ni
majani yake ndiyo yaliyobeba VITAMINI C zaidi.
JE! UMEWAHI KUTUMIA MAJANI YA MPERA KAMA M’BADALA YA MAJANI YA CHAI !?
Majani ya mpera ukiyafanya kuwa kiungo kikuu cha chai, basi utakuwa umeji-tengenezea dawa kwa jina la chai; inayo shughulika na kuondoa mafuta yanayoganda mwilini (cholesterol), bila kusahau na kusafisha sumu zinginezo mwilini.
FAIDA ZA ZIADA NI:
~Inaimarisha afya ya ngozi.
~Inaponya maumivu ya tumbo na kuharisha.
~Inasaidia kuweka uwiano wa sukari mwilini.
~Inaboresha afya ya uoni kwenye macho (B3).
~Inasaidia kupunguza uzito mkubwa (obesity).
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728