21 Mei 2015

Lucy Avunja Ukimya Kuhusu Ndikumana

Lucy Avunja Ukimya Kuhusu NdikumanaStaa wa Bongo Movie ambaye kwa sasa anaishi ughaibuni, Lucy komba ameamua kuelezea tuhuma zinazomkabili za kua na uhusiano wa kimapenzi na Hamad Ndikumana, aliekua mme wa msanii mwenzake Irene Uwoya.Akizungumza na
gazeti la sani Lucy ameelezea kwamba hakuna jambo lolote linalowakutanisha na Hamad zaidi ya filamu iitwayo "Kwanini nisimuoe" inayohusisha watu wawili tu.
Lucy alisema walipokua wanarekodi filamu hiyo ndio uvumi mwingi ulianzishwa. Ingawa mashabiki wengi walipinga kuwa haiwezekani filamu nzima ikahusisha watu wawili tu na kwamba hao wawili wanauhusiano lakini Lucy amesema kwamba filamu hiyo ikitoka itatoa majibu yote na amewasisitiza mashabiki wainunue filamu hiyo ya "kwanini nisimuowe".

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728