28 Mei 2015

Blair ajiuzuru ujumbe Quartet

Waziri Mkuu wa zamani Tony Blair
Waziri mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair amejiuzulu nafasi ya ujumbe wa umoja wa kimataifa katika kamati unaoshughulikia usuluhishi wa
mgogoro wa Mashariki ya kati Quartet, unaohusisha nchi ya Israel na Palestina nafasi ambayo ameitumikia kwa kipindi cha miaka nane.
Vyanzo vya habari vilivyokaribu na Blair vinasema ataendelea kuwepo akijihusisha na baadhi ya shughuli na eneo hilo. Watoa habari hao wanasema kuwa waziri mkuu huyo anaamini kuwa mtazamo mpya unahitajika. Lakini wakosoaji wanasema Blair alipambana katika jukumu ambalo lilikuwa na mipaka katika maendeleo ya kiuchumi na ameshindwa kuleta matokeo chanya. Afisa mmoja wa Palestina amemlaumu Blair kwa kufanya kazi ili kuwaridhisha waisrael na Marekani. Umoja huo unaundwa na UN, EU nchi ya Marekani na Urusi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728