16 Mei 2015

Andiko Hili la Zamaradi Mtetema Lawagusa Wengi
     
    MAISHA NI SAFARI na lazima WOTE tufike.. haijalishi kwa njia gani sababu kila mtu ana njia yake ya kupita ili kukamilisha safari hii.. kumbuka njia hazifanani sababu kila mtu ana MWISHO WAKE tofauti, hivyo katika hii safari unatakiwa kuwa makini na kuangalia NJIA YAKO TU na sio kuwa na wasiwasi na njia za wengine ama kujaribu kupita/Kuiga njia walizopita
    wengine..kufanya hivyo Hakutafanya ufike unapotakiwa kufika (kwako) ila utajikuta umefika kwa WENGINE ambako si kwako mwisho wa siku inabidi uanze moja ili kujaribu kufika kwako..
    KWANINI USINDIKIZE WENZIO!! ni sawa na kwako kuwe ILALA halafu kwa kukwepa mashimo ukaona upite MBEZI BEACH ambapo uliskia njia ni nzuri kwa kutegemea ufike ILALA, IMPOSSIBLE! Kitakachotokea MBEZI utakaa kwa muda mfupi tu kusubiria MUDA uanze tena safari ya kupatafuta/kurudi ILALA!! WASTAGE OF TIME! This is the BIG reason in my life SIJAWAHI KUSHINDANA NA SISHINDANI, ila NAFANYA..Nafanya kile nachotakiwa kufanya.. bila PRESSURE wala wasiwasi sababu naamini safari ya kwangu ni YANGU!! Ina njia zangu na mwisho wangu..
     Kwa wanaonijua huwaga SINA STRESS NA VITU!! kushindana ni kupoteza mwelekeo wa ya kwangu.. siangalii nani anafanya nini ili nifanye but naangalia natakiwa kufanya nini kwa muda husika,Sioni vibaya kwa mafanikio ya yeyote yule, Naamini nna ya kwangu..SIIGIZI maisha wala kuweka TASWIRA ama ATTITUDE nisiyokuwa nayo..I am who I am!! Nataka mtu anitambue kwa cha kwangu.. kunichukia ama kunipenda iwe kutokana na tabia yangu ya ukweli na sio ile plastic ya kujivisha.. Na kama kuna chochote nnachotakiwa kukipata basi nikipate kwa NILIVYO na sio kwa sira nisiyokuwa nayo ambapo baadae itakapogundulika tofauti ikawa tofauti!! KIKUBWA Dont stress over someone else's life..
    RELAX!! sababu hata siku moja Huwezi kubadili ukweli wa KWAKO!! KWAKO HAPABADILIKI.. na hata ushinde na kulala nyumba za jirani lakini mwisho wa siku lazima urudi KWAKO..TENGENEZA KWAKO!! Hakuna mwisho mbaya.. Ila tunautengeneza tunapopita njia tofauti na tunazotakiwa kupita ili tufike, NJIA ZA WENZETU.. Lazima utokee pasipokuhusu ambapo automatic hapatakuwa pazuri KWAKO ila kwa PANAEMUHUSU.. NATAKA NIFIKE KWANGU.
    Zamaradi mtetema ambaye ni mtangazaji na muaandaaji wa filamu za kibongo aliandika hayo kwenye ukurasa wake mtandaoni na kungwamkono na watu wengi.

    Hakuna maoni:

    Chapisha Maoni

    KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
    KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

    TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

    POSITION DESRIPTION;

    Agricultural Technician

    Qualifications

    Diploma in agriculture

    Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

    apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728