16 Mei 2015

Wema Asema Hampendi Tena Diamond, Hatishwi na Zari, Yeye ni Team Kiba

Wema Asema Hampendi Tena Diamond, Hatishwi na Zari, Yeye ni Team Kiba
Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu amesema alipokuwa akihojiwa na Sebo  mtangazaji wa EFM, kwenye kipengele kiitwacho Kabali ambapo wema aliambiwa  ajibu maswali kadhaa kama ndiyo au hapana na badaye kupewa nafasi ya kifafnua.

Wame aliulizwa kama bado anampenda Diamond, na kama Zari ni tishio kwake kwa upande wa fasheni ambapo yote hayo Wema alijibu hapana na kijibu ndiyo alipoulizwa kama yeye ni Team Kiba.
Akifafanua kuhusu kuhusu kutompenda tena Diamond Wema alisema kuwa kila kimkumbuka Diamond anamkumbuka kwa  mengi mabaya .

“Hapana simpendi [Diamond], yalishaisha hayo, nilishampendega, niliwahi kumpenda sana, lakini hamna tena, yaani hata sishtuki,” Wema alisema.
“Nikimkumbuka Diamond most of the things ambavyo ninavikumbuka sio vitu vizuri na ndio maana hata sasa hivi imekuwa hivyo. Vizuri vilikuwepo lakini mtu anaweza akafanya vizuri akaja kufanya kimoja tu kibaya na akaharibu vyote tisa,” aliongeza.
Kwa upande wa Zari ambaye ni mpenzi wa sasa wa Diamond, Wema alieleza kutoitishika na mwanadada huyo kwenye tasnia ya fasheni.
 “[Zari] hanitishi kwasababu yeye ana taste yake, mimi nina taste yangu, yeye ni Zari mimi ni Wema,” amesema muigizaji huyo. “I got my own, I like to play along with anything and she got her own.”-Wema alisema.
Zaidi alizungumzia gari aina ya BMW alilipewa  mwaka jana na meneja wake Martin Kadinda  kwenye sherehe za siku yake ya kuzaliwa, Wema alisema kuwa Martin alipita sehemu nyingi na kufanya donation  walifanya dada zake walioko marekenai na yeye hajui ilikuwaje hadi gari likapatikana pia wema amesema  kuwa kwasasa hawezi ku-date na msanii yoyote hapa Bongo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728