25 Mei 2015

Ferdinand azungumza kuhusu marehemu mkewe



Rio Ferdinand akiiechezea QPR
Aliyekuwa Nahodha wa timu ya soka ya Uingereza Rio Ferdinand amezungumza kwa mara ya kwanza tangu kifo cha mkewe kilichosababishwa na saratani na kusema kuwa
ulikuwa wakati mgumu katika maisha yake.
Akiandika katika gazeti la the sun, aliusifu ujasiri wa mkewe Rebecca Ellison ambaye alifariki akiwa na umri wa miaka 34 mapema mwezi huu.
Mlinzi huyo wa kiabu ya QPR pia alisema kwamba alihisi kufanya makosa wakati alipokosa baadhi ya mechi wakati timu yake ilipokuwa ikijaribu kuzuia kushushwa daraja.
Rio Ferdinand na marehemu mkewe
Mkewe ambaye alimuoa mwaka 2009 ,alifariki May mosi kutokana na saratani ya matiti.
Amewaacha watoto watatu ,Lorenz mwenye umri wa miaka tisa,Tate mwenye umri wa miaka sita na Tia mwenye umri wa miaka minne.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728