16 Mei 2015

Kumbe Wastara na Stara Thomas ni Ndugu!

Kumbe Wastara na Stara Thomas ni Ndugu!
Staa wa Bongo Movies  Wastara Juma leo kupitia ukutrasa wake mtandaoni ametoboa kuwa staa wa Bongo Fleva Wastara Thomas ni ndugu kitu ambacho hata yeye mwenye kimemshangaza.
Wastara alibandika picha hiyo hapo juu ana kuiandikia maelezo haya.

Wastara wa 4,  bibi Stara, mama Stara, dada Stara, mdogo Stara, ilo ndilo jina langu halisi nililopewa na bibi yangu huyu hapo mzaa mama usishangae kumuona Stara tomath hata mimi nilisahangaa jina ilo kalipata wapi lakini maswali yameisha leo baada kukutana kwenye msiba wa bibi yake mzaa mama ambaye ndio mwenye jina ilo lilonifikia mpka mim kuitwa stara ambaye nami ni bibi yangu Mungu amrehemu bibi yetu wajina letu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728