Ubelgiji imesitisha msaada wa jumla ya Euro milioni 7 kwa Burundi kufuatia vurugu zinazoendelea nchini humo kuelekea Uchaguzi.
-Euro Milioni 2 ilikuwa kwa ajili ya Uchaguzi na Euro Milioni 5, ilikuwa kwa ajili ya Polisi.
Ubelgiji imesitisha msaada wa jumla ya Euro milioni 7 kwa Burundi kufuatia vurugu zinazoendelea nchini humo kuelekea Uchaguzi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni