29 Mei 2015

Wachina 15 mbaroni kwa kugushi

Baadhi ya vijana nchini China
Raia 15 wa China wamefunguliwa mashitaka nchini Marekani kwa tuhuma za udanganyifu wa matokeo na nyaraka za kitaaluma walizozitumia kujiunga na elimu ya juu nchini Marekani.

Kwa mjibu wa waendesha mashtaka nchini humo,wamebaini kuwa vijana hao wa China wamekuwa fanya udanganyifu wa kutumia simu wakati wa majaribio ya kujiunga na vyuo hivyo. Idara ya sheria nchini Marekani imesema kuwa kwa kipindi cha minne iliyopita wamekuwa wakikwepa mfumo halali wa uchaguzi wa majina ya chuo na badala yake kutumia majina bandia na pasi za kusafiria. Iwapo watakutwa na hatia kutokana na tuhuma hizo,raia hao wa China watafungwa hadi miaka 20 jela

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728