10 Mei 2015

Christina Milian na Lil Wayne,kunani?

Lil Wayne na Christina Milian
Mwanamuziki wa mtindo wa RnB Christina Milan amethibitisha uvumi wa siku nyingi kwamba ana uhusiano na
msanii wa muziki wa Rap LilWayne ambaye pia anamwakilisha katika kampuni yake ya Young Money Entertainment.
Wawili hao walionekana pamoja katika pigano la karne kati ya Bingwa Floyd Mayweather na Manny Paquiao mjini Las Vegas.
Katika mahojiano na mtandao wa Etonline, Milian alisema kuwa Wayne ni mtu muhimu sana kwake.
Lil Wayne
''Ni mtu muhimu sana kwangu,ninaishi naye huru na sote tunafurahia'',.alisema.''Hakuna kitu kizuri kama kuwa na hisia na mtu hatua ambayo inakufanya kutojali kitu ambacho watu wengine wanasema,ni hisia ambazo watu uhisi kwa kweli'',.
Na alipoulizwa kuhusu kuolewa na Lil Wayne alisema:''huwezi kujua,ninamaanisha kwamba penzi huchochea vitu vizuri kama hivyo'', alisema Milian aliyejawa na tabasamu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728