11 Mei 2015

Ndugu ya Adebayor aomba msamaha

Adebayor
Ndugu ya mshambuliaji wa klabu ya Tottenham Emmanuel Adebayor ameomba msamaha baada ya nyota huyo kumshtumu katika mtandao wa
facebook na watu wengine wa familia yake.
Rotimi Adebayor ameiambia BBC kwamba anaomba msamaha kwa makosa aliyofanya,na kwamba angependelea nduguye arudi katika familia.
Emmanuel Adebayor ambaye pia anaichezea Togo alisema wiki iliopita kwamba mzigo wa kifedha wa kuisadia familia yake pamoja na ugomvi katika familia yake umemuahiribia kazi yake.
Amesema kuwa anazitaka familia nyangine barani afrika kupata funzo kutoka kwake.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728