25 Mei 2015

Wanaharakati waingia Korea Kaskazin

Wanajeshi wa Korea Kaskazini
Kundi la wanaharaklati wanawake wamevuka eneo lenye ulinzi mkali la mpaka kati ya Korea Kaskazini na
Kusini katika jitihada za keleta mapatano.
Wanawake hao 30 ambao wamekaa siku kadha nchini Korea Kaskazini walitumia basi baada ya ombi lao la kutaka kuingia kwa miguu kukataliwa.
Kwenye mkutano na waandishi wa habari wanaharakati hao walipinga shutuma kuhusu safari yao nchini Korea Kaskazini na kuitaja hatua hiyo kuwa ya kihistoria.
Kiongozi wao alisema a kuwa wanawake hao wana lengo la kuonyesha mateso ambayo tofauti kati ya nchi hizo zimeleta.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728