12 Mei 2015
NIGERIA
Rais Mteule wa Nigeria, Muhammadu Buhari, amewaeleza maafisa wa polisi na usalama wanaomsindikiza kwenye msafara wake kwamba wanapaswa kuheshimu sheria za barabarani kila wanapokuwa naye. Je, hatua hii inamaanisha nini? Msafara wa kiongozi mkuu wa nchi ukoje kwenye taifa lako? Je, una picha ya msafara wa rais uliyopiga mwenyewe? Tafadhali tupe maoni yako na kama una picha tutumie.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni