16 Mei 2015

Uwoya: Siogopi Maneno, Ila Mwacheni Mwanangu

Uwoya: Siogopi Maneno, Ila Mwacheni MwananguKufuatia kitendo cha baadhi ya mashabiki kuwashambulia mastaa kwenye kurasa zao mitandaoni kushamili, Staa wa Bongo Movies, Irene Uwoya ameibuka na kuweka angalizo hili kwa followers wake.

Mamboz! Nataka niulize swali hivi kunamtu nilimlazimisha kuni follow au ni kwa mapenz tuuu? sasa kwanini mtu anataka kuchukua jukumu la mzazi wangu kujifanya anajua sana maisha yangu wakati toka nizaliwe hajawahi kuninunulia ata pipiii!!!
Sasa ni hivi kusemwa mimi siogopi na matus pia siogopi kabisa coz nimeanza kusemwa toka nipo tumboniii!!! Ila naomba sanaaa mwanangu awe pembeni hausiki ata kidogo tena naomba sanaaa fanyeni yote lakin mwanangu chondechondeee!!!
Wewe unaesema na nyota ya mchanga ni kweli ujakosea kwasababu mchanga unadhamani kubwa sana ndomana ukizikwa lazima uwekewe mchanga!
Sasa ambaye anaona amekuja huku ili anitukanie mwanangu naomba atoke haraka staki kuwa nawatu wengi wanafiki nibora kuwa na wachache wenye mapenzi ya kweli na ukikosea wanakwambia kuliko kuwa na wengi kazi yao umbea na majunguuu!!!
STAKI kama unajijua ni mmoja wao fanya usepeee!!!!!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728