21 Mei 2015

Frank (Mohamedi mwikongi)

Frank (Mohamedi mwikongi)

Frank (Mohamedi mwikongi)

Jina lake halisi ni Mohamedi Mwikongi  ingawa wadau wengi wa bongo movies wanamfahamu kama “Frank”, ni mmoja wa waigizaji wakongwe sana ndani ya tasnia ya filamu nchini. Pamoja na kuwa na mwili uliojengeka vizuri kimazoezi pia Frank ni mwigizaji mwenye mvuto wa aina yake na ameweza kushiriki katika filamu nyingi sana hapa nchini. Anajulikana na mashabiki wake kama mwigizaji mstaarabu na mpole na mara nyingi kama mtu mwenye busara na maamuzi ya hekima.

Images

  • Frank (Mohamedi mwikongi) 1

Movies

    Early life

    Frank alizaliwa jijini Dar es salaam tarehe kumi na nane( 18) mwezi wan ne (4) mwaka 1979 (18/4/1979) katka hospitali ya ocean road. Alipoanza kukua alihamia Mkoani Iringa ambako alipata Elimu yake yam sing katika shule ya msingi Wiloseli kabla ya kuhamia shule ya msingi Mapambano jiji Dar es salaam ambako alimaliza elimu yake ya msingi. Baada ya hapo alijiunga ma shule ya sekondari ya Highlands ilyopo wilayani iringa ambako alisoma na kuweza kuhitimu masomo yake ya O’level. Baadaye alijiunga na shuke ya sekondari Jitegemee kwa elimu ya kidato cha tano na sita na mwishowe kumaliza safari ya elimu katika Chuo cha kodi (ITA) cha TRA jijini Dar es salaam

    Career

    Mohamedi Mwikongi (Frank) alianza Rasmi kuigiza mnamo mwaka 1999 chini ya kikundi cha Fukuto arts group kilichokuwa kikirusha maigizo yake kwenye kituo cha ITV kabla ya kujiunga na kikundi cha Kaole sanaa group ambako aliweza kupata umaarufu mkubwa na kujenga jina lake la frank kwenye igizo la Tufani.
    Baada ya hapo alianza kuigiza kwenye filamu mbalimbali na baadhi ya filamu zilizompa umaaarufu ni pamoja na Dangerous Desire, Sikitiko langu, behind the scenes na nyingine nyingi
    Akiwa katika mapumziko Mohamedi anapenda zaidi kufanya mazoezi na kumpumzika

    Contact Frank (Mohamedi mwikongi)


    emwikongi@yahoo.com

    Hakuna maoni:

    Chapisha Maoni

    KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
    KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

    TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

    POSITION DESRIPTION;

    Agricultural Technician

    Qualifications

    Diploma in agriculture

    Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

    apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728