11 Mei 2015

Kimbunga Noul kupiga Ufilipino kaskazini

KImbunga Noul kinatarajiwa kupiga kazkazini mwa Ufilipino
Wakazi wa maeneo ya kaskazini mwa Ufilipino wanajiandaa kuwasili kwa kimbunga ambacho tayari kimesababisha kufutiliwa mbali kwa safari za ndege na usafiri wa baharini.

Kimbunga hicho kinachojulikana kama Noul kilicho na upepo unaovuma kwa kasi ya zaidi ya kilomita 160 kwa saa, kinatarajiwa kuwasili eneo hilo muda mfupi unaokuja.
Maafisa kwenye mikoa iliyo kaskazini ya Isabela na Cagayan wanasema kuwa wamechukua tahadhari na wako tayari kuwahamisha watu kutoka nyanda za chini

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728