Mgawanyiko katika kanisa la
Kianglikana kuhusu suala la mapenzi ya jinsia moja halitakuwa janga bali
itakuwa ni kufeli. Hii ni kwa mujibu wa askofu mkuu wa Canterbury,
Justin Welby.
Chama cha Wananchi (CUF) kimeonya
kuwa kurudiwa kwa uchaguzi visiwani Zanzibar kunaweza kusababisha vurugu
na kumtaka Rais wa Tanzania Dkt John Magufuli kuingilia kazi kutatua
mzozo ulitokana na uchaguzi visiwani humo.
Image caption
Rais Obama ametokwa na machozi hadharani mara kadha
Rais wa Marekani
aligonga vichwa vya habari alipotokwa na machozi alipokuwa akiwahimiza
Wamarekani wakubali mabadiliko kwenye masharti ya uuzaji wa silaha
Marekani Jumanne.