Meneja wa Manchester United Jose Mourinho amesema bado inawezekana Wayne Rooney aihame klabu hiyo mwezi huu.
Mshambuliaji
huyo wa 22 Februari 2017
Mourinho: Wayne Rooney anaweza kuondoka Manchester United
Wanawake Korea Kusini kuishi miaka mingi zaidi duniani
Wanawake nchini Korea Kusini watakuwa wa kwanza duniani kuwa na umri wa kuishi wa zaidi ya miaka 90, utafiti unaonesha.
Utafiti
huo uliofanywa na Chuo cha Imperial cha London na Shirika la Afya
Duniani uliangazia umri wa kuishi katika mataifa 35 yaliyostawi
kiviwanda.Utafiti huo unaonesha watu watakuwa wakishi miaka mingi kuliko sasa kufikia mwaka 2030 na pengo kati ya wanaume na wanawake litaanza
Mugabe: Nimefurahishwa na sera za Donald Trump
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe
amesema anakubaliana na sera ya Rais wa Marekani Donald Trump kwamba
"Marekani iwe ya Wamarekani".
Bw Mugabe, ambaye ndiye mara ya
kwanza anazungumzia utawala wa Bw Trump, amesema alishangazwa na ushindi
wa kiongozi huyo wa Republican.Hata hivyo, amesema hakutaka pia "Madam Clinton ashinde",
13 Februari 2017
Donald Trump kuishughulikia Pyongyang
Rais wa Marekani Donald Trump ameizungumzia Korea ya Kaskazini baada ya kitendo chake cha hivi karibuni cha kurusha kombora la kinyuklia lijulikananlo kama fter its latest ballistica na kwamba nchi hiyo ni tatizo kubwa mno.
Baraza la usalama la Umoja wa mataifa ina nia ya kufanya mkutano wa dharula muda mfupi ujao ili pamoja na mambo mengine kujadili juu ya kitendo cha Korea ya Kaskazini.
Naye msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa China Geng Shuang amesema kwamba Beijing ililipinga jaribio hilo, inagawa Pyongyang ilikuwa inaendelea na mipango yake ya uendelezaji silaha kutokana na mvutano ulioko baina ya Washington na Seoul
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)