21 Machi 2026
Mauaji ya kikatili Katavi
kutoka katavi mwanalimu anayejulikna kwa jina Aidan Ramadhani amekutwa amechinjwa na mwili wake ukitelekezwa usiku wa kuamkia tarehe 20 mwezi wa 3 mwaka 2026 mauaji hayo yakikatili yaliyotokea bado haijafahamika chanzo ni nini huku majirani na mashuhuda wakilaani vikali kuhusiana na tukio hilo la kinyama.
Jisajili kwenye:
Maoni (Atom)