Bofya hapa kuona matokeo ya kidato cha nne 2015/2016
18 Februari 2016
MATOKEO KIDATO CHA NNE MWAKA 2015/2016
Papa Francis: Donald Trump 'si mkristo'
Mkuu wa kanisa
katoliki duniani Papa Francis amesema kuwa wazo la mgombea wa kiti wa
chama cha Republican nchini Marekani , Donald Trump la kujenga ukuta
kati ya Mexico na Marekani si
Refarii apigwa risasi na mchezaji Argentina
Refarii mmoja nchini Argentina
amepigwa risasi na kuuawa na mchezaji aliyemuonesha kadi nyekundu
uwanjani katika mechi ya daraja la pili.
Mafuta yapanda bei asilimia 6,000% Venezuela
Venezuela imeongeza bei ya Petroli kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 20.
Rais Nicolas Maduro ametangaza bei mpya ya mafuta ambayo itakuwa senti sitini kwa dola ($0.60).Kizza Besigye akamatwa na polisi Uganda
Msemaji wa chama
cha Forum for Democratic Change Ssemujju Ibrahim Nganda amethibitisha
kwamba mgombea urais wa chama hicho Dkt Kizza Besigye amekamatwa.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)