Mkuu wa shirika la kupambana na dawa za kulevya Indonesia amependekeza mamba watumiwe kulinda wafungwa waliohukumiwa kunyongwa.
14 Novemba 2015
Vita vya jogoo vyasababisha vifo vya watu 10
Watu 127 wauawa katika mashambulio Paris
Ufaransa imetangaza
hali ya hatari na kufunga mipaka yake baada ya watu zaidi ya 127 kuuawa
kwenye mashambulio kadha mjini Paris.
Alshabaab lawaua wanajeshi 13 Somalia
Watano kuwania tuzo ya mwanasoka bora Afrika 2015
Maombolezo na hali ya hatari Ufaransa
Kundi la wapiganaji la Islamic State
limetoa taarifa kusema kuwa lilifanya mashambulio ya mjini Paris Ijumaa
usiku ambapo watu kama 127 waliuwawa.
Wanaume wanane waliovaa vizibau vyenye mabomu walikufa kwenye mashambulio hayo katika sehemu sita mbalimbali za mji mkuu wa Ufaransa.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)