Wapiganaji wa kundi la Al-Shabab
nchini Somali, wameshambulia kambi yenye chuo cha wanajeshi kusini mwa
nchi na kuwauwa wanajeshi 13.
Wanajeshi wa Somalia walipambana na
washambuliaji hao kwa saa tatu, na wameweza kuilinda kambi,karibu na mji
wa Kismayo, wenye bandari.
Wanajeshi 7 walijeruhiwa na wapiganaji 10 waliuwawa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni