13 Februari 2017

Donald Trump kuishughulikia Pyongyang

Rais wa Marekani Donald Trump ameizungumzia Korea ya Kaskazini baada ya kitendo chake cha hivi karibuni cha kurusha kombora la kinyuklia lijulikananlo kama fter its latest ballistica na kwamba nchi hiyo ni tatizo kubwa mno.
Trump alitoa matamshi hayo alipokuwa akizungumza na waandishi habari akiwa pamoja na waziri mkuu wa nchi ya Canada, Justin Trudeau katika ikulu ya Marekani, Trump amesema kwamba ataishughulikia na nchi ya akizungumza kwa msisitizo juu ya kauli hiyo.
Baraza la usalama la Umoja wa mataifa ina nia ya kufanya mkutano wa dharula muda mfupi ujao ili pamoja na mambo mengine kujadili juu ya kitendo cha Korea ya Kaskazini.
China imetoa angalizo kuwa kitendo hicho kimeiwekea msuguano wa kikanda na kutoa wito kwa pande zote kujiepusha na hatua yoyote ile ya uchochezi.
Naye msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa China Geng Shuang amesema kwamba Beijing ililipinga jaribio hilo, inagawa Pyongyang ilikuwa inaendelea na mipango yake ya uendelezaji silaha kutokana na mvutano ulioko baina ya Washington na Seoul

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728