08 Septemba 2015

50 Cent anajenga Kasri Afrika

 
50 Cent anajenga Kasri Afrika 
 
Rapa wa Marekani 50 Cent amechapisha picha ya nyumba yake mpya iliyoko barani Afrika katika mitandao wa kijamii ya instragram.

Mwanafunzi mwerevu apata alama 0 !


Mwanafunzi aliyepata 0 kwenye mtihani wa mwisho
Maelfu ya wazazi na wanafunzi wamejitokeza kumuunga mkono mwanafunzi mmoja shupavu aliyepata sufuri katika mtihani wake wote wa mwisho.

Papa Francis kurahisisha sheria ya talaka

Papa Francis kurahisisha sheria ya talaka miongoni mwa wakatoliki 
 
Papa Francis anatarajia kurahisisha taratibu zinazoruhusu wafuasi wa kanisa katoliki waliooana kutoa talaka na kuolewa tena huku wakibakia kuwa wafuasi wa katika kanisa hilo .

Punda na farasi ni marufuku Nigeria

Jeshi la Nigeria limepiga marufuku matumizi ya farasi na punda katika jimbo la Kaskazini Mashariki la Borno

Je umeambukizwa Nomophobia? Soma utafiti

Je umeambukizwa Nomophobia ?
Utafiti wa hivi karibuni uliowachunguza wanafunzi 1000 Korea Kusini umebaini kuwa asilimia 72 ya watoto wanapata simu wakifikia umri wa miaka 11 au 12.

Al Shabaab wadai kuteka askari wa Uganda

 
Wapiganaji wa Al Shabaab 
 
Wapiganaji wa kiislamu wa Alshabab wamesema katika maneno yao kuwa linawashikilia mateka wa kivita kutoka Uganda waliowateka wakati wa mashambulizi ya wiki iliyopita.

Mpango wa kutega mabomu watibuliwa Kenya

Polisi wa Kenya walipokuwa wakipambana magaidi katika Chuo Kikuu cha Garisa 
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728