Johannesburg/Dar. Baada ya kuukimbia ukweli kwa kipindi cha mwezi mmoja, mwanamuziki Diamond Platnumz amethibitisha kuwa na uhusiano baina yake na staa maarufu kutoka Uganda, Zari ‘The Boss Lady’ na kwamba atakuwa mgeni rasmi katika hafla yake ijulikanayo ‘Zari All White Ciroc’ itakayofanyika mwezi huu.
08 Desemba 2014
Diamond kuwa mgeni rasmi ‘Zari All White Ciroc’
Zari ‘The bossy Lady’ ; Mganda aliyeviteka vyombo vya habari NCHINI kwa sasa
Wengi tunamfahamu kama Zari The bossy lady lakini jina lake halisi ni Zarinah Hassan mwanamuziki wa Uganda ambaye ameweka makazi yake nchini Afrika Kusini.
Escrow kuing’oa CCM
Kafulila: Dk Slaa awe mgombea Urais kupitia Ukawa
01 Desemba 2014
Diamond aweka rekodi Channel O
Si hivyo tu, pia Diamond aliishangaza Afrika baada ya kunyakua tuzo kubwa ya Video Bora ya mwaka na kuwa msanii aliyeondoka na tuzo nyingi huku akiondoka na tuzo ya msanii bora Afrika Mashariki na mwanamuziki bora anayechipukia.
Diamond aliyeongozana na mama yake alisema, licha ya kuwashinda wasanii mahiri barani Afrika, anahisi bado hajafikia hatua anayostahili na kwamba anahangaika kuhakikisha anaifikia na kuendelea kukaa juu siku zote.
Kafulila: Mambo manne yalinitia nguvu
Rais Kikwete amteua Profesa Assad kuwa CAG Mpya
IPTL yazamisha mawaziri, AG, wabunge
Siri ya Mizengo Pinda kunusurika yatajwa
Arusha/Zanzibar. Siri ya kunusurika kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow imebainika kuwa wajumbe wa Kamati ya Maridhiano walikubaliana kumwacha kutokana na kubakiza muda mfupi na pia kukwepa kuvunja Baraza la Mawaziri kwa mara ya pili.
Tani 5,100 za pamba zakosa soko
29 Novemba 2014
Sunderland 0-0 Chelsea: Five reasons why the Blues drew a blank at the Stadium of Light
Bunge laahirishwa mara mbili kutafuta mwafaka maazimio ya PAC
Dodoma. Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania limeongeza muda wake na kusitisha vikao vyake mara mbili ili kutafuta muafaka juu ya andikaji wa maazimio yatakayotumiwa kuwawajibisha wale wote waliohusika na kashfa ya Escrow.
'Waliochukua fedha za Escrow wachukuliwe hatua’
CAG, Takukuru, TRA: Fedha za Escrow za umma
Kikao cha Bunge chavunjika, Vurugu zatawala ukumbini
Vurugu hizo zilianza saa 04:42 usiku hadi saa 04:49 usiku wakati Spika Anne Makinda alipolazimika kuahirisha Bunge hadi leo saa tatu asubuhi.
27 Novemba 2014
Petr Cech in no rush to leave Chelsea
The keeper is prepared until next summer for the right offer
Petr Cech is not in any hurry to move on from Stamford Bridge in the hope of finding first team football, the stopper's agent has said he could wait until next summer for the right move to come along.
The Czech has recently been linked with a move away in January after losing the number one spot he has held for many years.
Thibaut Courtois returned from his loan at Athletico Madrid in the summer and has been Mourinho's preferred choice ever since.
Althought after recent rumours, Mourinho put to bed the chance that Cech would be sold during January, this having since been backed up by Cech's agent, Viktor Kolar.
Kolar said: "In the football world you can never rule anything out definitively, however, if you put together the facts with Petr's ambitions of a top-class goalkeeper, you will not be left with too many options."
"If we add to this the actual little need of these few clubs to search a new goalkeeper in the winter's transfer window, then you will find out that the chance of a transfer in the next weeks or months is not very high."
Turkish side Besiktas are said to be one of the many sides monitoring Cech, with Fikret Orman, the club president, revealing he would be keen to sign him.
MAJINA YA WATU WALIOHUSIKA NA ESCROW
SOMA MAJINA YA WALIOKULA FEDHA ZA AKAUNTI YA ESCROW KATIKA RIPOTI YA PAC ILIYOSOMWA BUNGENI.26 Novemba 2014
Siku ya hukumu
Kashfa ya ESCROW vigogo watajwa TZ
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)