
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limeelezea wasiwasi wake kuhusu kasi ya kuimarika kwa




Huduma ya ujasusi ya Marekani imeanzisha uchunguzi baada ya aliyekuwa muhudumu mkuu wa nyumbani kwa Donald Trump kutaka rais Barrack Obama auawe.
Papa Francis ametunukiwa tuzo ya Charlesmagne ya mji wa Ujerumani wa
Aachen. Kwa kutunukiwa zawadi hiyo, jopo linalosimamia tuzo hiyo
limetaka kusifu juhudi zake kuleta amani, masikilizano na huruma Ulaya.

Mahakama ya Misri, imeahirisha kesi
ya rais wa zamani, Mohamed Morsi, na watu wengine 10, kwa mashtaka ya
kutoa siri za taifa kwa Qatar.
Serikali katika mkoa wa Gansu, China
imeagiza wasimamizi wa shule kutekeleza kikamilifu marufuku ya
kutokubalia shughuli zozote za kidini shuleni.
Wakuu wa Jamhuri ya Demokrasi ya
Congo wanasema wamemkamata naibu kamanda wa
Mgombea mkuu wa chama cha Republican
Donald Trump ameshutumu Uchina na kusema imekuwa “ikiibaka” Marekani
kupitia sera zake za kibiashara.
Mjasiriamali mashuhuri nchini
Australia Craig Wright amejitambulisha hadharani kwamba ndiye Satoshi
Nakamoto aliyevumbua teknolojia mashuhuri ya sarafu ya mtandaoni
ijulikanayo kama Bitcoin.
Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA)
limeshutumiwa mtandaoni kwa kusimulia moja kwa moja matukio
yaliyopelekea kuuawa kwa Osama Bin Laden.
Mwanaye rais wa Marekani Barack Obama, Malia, amefuzu kujiunga na chuo kikuu cha Harvard.