Wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania wamekuwa wakikabiliwa na changamoto ya
kupata mikopo kutoka kwa bodi ya mikopo kutokana na bajeti kuwa ndogo.
Mwenyekiti wa baraza la marais wa vyuo vikuu Tanzania, Boniphace Maiga
Juma analizungumzia tatizo hilo katika Kinagaubaga.
http://dw.com/p/1Ij1a
07 Mei 2016
Wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania wamekuwa wakikabiliwa na changamoto ya kupata mikopo
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni