22 Septemba 2016

13th Sabbath Offering for Clinic Results in Papua New Guinea Baptisms

A small church is now under construction in the remote village.

, South Pacific Adventist Record
A small clinic constructed through a Thirteen Sabbath offering just two years ago has resulted in two baptisms, requests for 23 more baptisms, and the establishment of a Seventh-day Adventist congregation in a remote area of Papua New Guinea.

Mwanasoka wa Sierra Leone, Bah afariki kwenye ajali

Mamadu Alphajor Bah (right)Aliyekuwa mwanasoka wa kimataifa, raia wa Sierra Leone, Mamadu Alphajor Bah amefariki dunia katika ajali mbaya ya

Yahoo yadukuliwa taarifa za watumiaji wake

Makao Makuu ya Mtandao wa YahooMtandao wa Yahoo umethibitisha kuwa wadukuzi wamedukua taarifa za zaidi ya watumiaji milioni mia tano katika akaunti zake za watumiaji.

Rais Buhari aiomba UN ijadiliane na Boko Haram

Hatima ya wasichana hao wa Chibok haijulikaniRais wa Nigeria, Muhammadu Buhari amekaribisha Umoja wa mataifa kujadiliana na Boko Haram katika kutafuta kumaliza uasi wa miaka 7 wa wanamgambo hao wa kiisalmu na kuwaokoa zaidi ya wasichana 200 wa shule waliotekwa kutoka Chibok.
Amesema yupo tayari kuwaachia wanamgambo waliokamatwa wa Boko haram ili kupata uhuru wa wasichana waliotekwa.
Lakini amesema ni vigumu

Fununu kuwa Apple inataka kuinunua kampuni ya McLaren?


McLaren inasifika ka kutengeneza magari ya kifahari ya kasi kwa miaka mingiRipoti kuwa kampuni ya Apple imekuwa ikitafakari kununua kampuni ya magari ya Uingereza McLaren kwa thamani ya $1.5bn mpaka hivi sasa zimepuuziliwa mbali na pande zote mbili.
Lakini kuna sababu kadhaa zinazofanya taarifa hizo zitiliwe uzito.
Kwanza, tumefahamu kwa muda sasa kuwa Apple inashughulikia teknolojia inayohusiana na magari.

Misaada yaanza kutolewa tena Misri, baada ya kusitishwa

Madhara ya vita SyriaUmoja wa Mataifa umefanikiwa kufikisha misaada ya kibinadamu katika kitongoji kinachokaliwa na waasi cha Moadamiya, Damascus.

Jeshi la Syria limetangaza kuanza tena mapigano makali

Mapigano mapya SyriaJeshi la Syria limetangaza kuwepo kwa mapigano mapya makali, kutaka kurudisha eneo linalodhibitiwa na waasi huko Aleppo, ambako takriban watu laki mbili na nusu wamezingirwa.
Jeshi hilo limewataka pia raia kujiepusha kuwa katika maeneo yanayoshikiliwa na waasi.
Limesema njia za kutoka katika maeneo yanayoshikiliwa na waasi zimewekwa wazi kuruhusu watu kutoka.
Tangazo hilo limekuja siku chache baada ya

Hali ya hatari imetangazwa katika mji wa Marekani

Familia wanasema Bwana Scott alikuwa anasoma kitabu alipouawa, lakini polisi wanasema alikuwa amebeba silahaGavana wa jimbo la North Carolina ametangaza hali ya hatari katika mji wa Charlotte, wakati ghasia zinaendelea kufuatia polisi kumuua mwanamume mweusi.
Ghasia zilizuka kwa usiku wa pili baada ya kuuawa Keith Lamont Scott kwa kupigwa risasi na afisa mweusi Jumanne.
Muandamanaji mmoja yupo katika hali mahututi baada ya kuzuka

Progamu ya Windows 10 lawamani

Mkurungezi mtendaji mkuu wa Microsoft Satya NadellaKampuni ya Microsoft imeshtumiwa na kundi la haki za wateja la Consumer Rights dhidi ya programu yake ya Windows 10.
Kundi hilo limesema limepokea mamia ya malalamishi kuhusiana na uboreshaji wa programu hiyo .

Je unavitambua vyuo vikuu bora duniani?


Chuo kikuu cha Oxford UingerezaChuo kikuu cha Oxford kimeibuka kidedea katika orodha ya vyuo vikuu bora duniani ya Times Higher Education. Hi ni mara ya kwanza kwa chuo kikuu cha Uingereza.
Oxford imeisukuma katika nafasi ya pili, California Institute of Technology, ambayo imekuwa ikiongoza orodha hiyo kwa miaka mitano iliopita .

Dangote kuinunua Arsenal katika kipindi cha miaka 4


Mtu tajiri barani Afrika kuinunua ArsenalAliko Dangote, mtu tajiri zaidi barani Afrika,ana mpango wa kuinunua klabu ya Arsenal kutoka nchini Uingereza katika kipindi cha miaka minne.
Dangote ambaye ni raia wa Nigeria ana thamani ya dola bilioni 10.9,kulingana na orodha ya watu tajiri duniani iliotolewa na runinga ya Bloomberg mjini New York siku ya Jumatano, alitangaza nia yake ya kukinunua klabu hicho mwaka uliopita.

Rais wa Botswana ''amtaka Mugabe kujiuzulu''

Rais wa Botswana kushoto Ian Khama na mwenzake wa Zimbabwe Robert MugabeRais wa Botswana Ian Khama amemtaka mwenzake wa Zimbabwe Robert Mugabe kujiuzulu mara moja kulingana na chombo cha habari cha Reuters.
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728