22 Septemba 2016

Hali ya hatari imetangazwa katika mji wa Marekani

Familia wanasema Bwana Scott alikuwa anasoma kitabu alipouawa, lakini polisi wanasema alikuwa amebeba silahaGavana wa jimbo la North Carolina ametangaza hali ya hatari katika mji wa Charlotte, wakati ghasia zinaendelea kufuatia polisi kumuua mwanamume mweusi.
Ghasia zilizuka kwa usiku wa pili baada ya kuuawa Keith Lamont Scott kwa kupigwa risasi na afisa mweusi Jumanne.
Muandamanaji mmoja yupo katika hali mahututi baada ya kuzuka
ufyetulianaji risasi baina ya raia, maafisa wa mji walisema.
Bwana Scott was ni mwanamume wa tatu raia wa Marekani mwenye asili ya kiafrika kuuawa na polisi katika wiki moja.
Mauaji haya yamesbabisha maandamano makubwa katika siku za hivi karibuni
Polisi wametumia gesi ya kutoa machozi kupambana na waandamanajiPolisi ya kupmabana na fujo imetumia gesi ya kutoa machozi walipokabiliana na mamia ya waandamanj. Idara ya polisi inasema maafisa wake wanne wamejeruhiwa.
Awali Gavana wa North Carolina Governor Pat McCrory amesema ameanzisha jitihada kutuma jeshi la ulinzi na maafisa wa polisi wa trafiki kusaidia kukabiliana na maandamano hayo.
"ghasia zozote zinazoelekezwa dhidi ya raia wetu au maafisa wa polisi au kusababisha uharibifu wa mali hazikubaliki," alisema.
Waandamanji wana hasira kuwa bwana Scott, mwenye umri wa miaka 43, ameuawa na Polisi Jumanne mchana katika hali ya kutatanisha karibu na eneo la makaazi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728