23 Februari 2015

MWANZA

JIJINI MWANZA,NCHINI TANZANIA,CHAMA WA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI MKOANI HUMO KIMEITAKA SERIKALI YA TANZANIA KUELEZA KAMA IMESHINDWA KUWEKA ULINZI JUU YAO,NA KUWATAFUTIA NCHI NYINGINE YA KUISHI AMBAKO HAKUNA MATUKIO YA KUTEKWA NA KUUAWA KWA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI. RAI HIYO WAMEITOA HII LEO WAKATI WAKITOA TAMKO LA KUTAKA KUJUA SERIKALI IMEFIKIA WAPI KATIKA KUWASAKA WALIOMTEKA MTOTO MWENYE ULEMAVU UPENDO EMMANUEL, ALIYETEKWA TAREHE 27.12 MWAKA JANA HUKO WILYANI KWIMBA MKOANI MWANZA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728