30 Machi 2017

Wenger aomba aongezewe miaka miwili

Kocha Arsene Wenger ameauambia uongozi wa Arsenal kwamba anataka kuendelea kubaki Emirates kwa miaka miwili.

Katika mkutano pamoja na uongozi wiki iliyopita, Wenger ameweka wazi yake ya
moyoni kuwa angependa kubaki kwa miaka miwili zaidi ili afanye mabadilike.

Kwa mujibu vya vyanzo, kwamba Wenger ameona makosa yalipo na anataka kubadilisha ndiyo maana anaomba miaka hiyo miwili ingawa haijaelezwa kuwa baada ya hapo ataondoka au ataendelea kubaki.

Hata hivyo, Wenger anaweza kuwa na wakati mzuri wa kupata mkataba mpya kama Arsenal itaitwanga Man City wikiendi hii.


Kama atafungwa atakuwa ameingia kwenye hofu mpya na huenda uongozi wa Arsenal unaweza kuamua tofauti.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728