28 Machi 2017

Hussein Bashe ampongeza Nay wa mitego

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Mbunge huyo wa Nzega ameandika ujumbe huu...


"Hongera Emmanuel Elibariki "Ney wa Mitego" na pia pole zangu za dhati.  Bob Marley aliwahi kusema maneno haya "Emancipate yourself from mental slavery none but ourselves can free our mind..." Wasanii wana sehemu kubwa sana ya kubadili fikra za watu, Na muziki ni silaha muhimu kwenye mabadiliko ya fikra na safari ya kujengea watu Uhuru wa kutoa maoni .

Nampongeza Rais kwa kumuelekeza Waziri Mwakyembe kuruhusu Nyimbo ya Ney na mawazo yake.  Kuzuia watu kuongea ama kutoa fikra zao hadhari ni hatari kwa jamii yetu.
Ni lazima serikali ijenge daraja la kupitisha kujadili maoni ya watu.
Hiyo ni njia bora ya kujenga Taifa imara.

Muziki ni burudani, muziki ni elimu, muziki ni umoja na muziki ni nyezo inayounganisha jamii. @naytrueboy"

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728