![[IMG]](https://1.bp.blogspot.com/-kuLLi9AGFpA/VwYy8lZ_x7I/AAAAAAAAHDw/8TKlWbCOtuw6k2A6ESMwaDlggRoFAqEmw/s640/3.jpg)
Wakati serikali ikiendelea na zoezi la kamata kamata ya wanawake wanaojihusisha na biashara ya ngono “kuuza miili yao” Madiwani wa
![[IMG]](https://1.bp.blogspot.com/-kuLLi9AGFpA/VwYy8lZ_x7I/AAAAAAAAHDw/8TKlWbCOtuw6k2A6ESMwaDlggRoFAqEmw/s640/3.jpg)

Klabu ya Young Africans itashuka
dimbani kesho Jumamosi kucheza dhidi ya miamba wa Misri Al Ahly hatua ya
16 bora katika Ligi ya Mabingwa barani Afrika (CAF CL).
Pigano la marudio kati ya Tyson Fury
na Wladmir Klitschko litaandaliwa mjini Manchester mnamo mwezi Julai
tarehe 9 kulingana na mkufunzi wa bondia huyo wa Uingereza.
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani
Papa Francis amechapisha mwongozo mpya kuhusu maisha ya familia ambapo
anahimiza kanisa litambue zaidi uhalisia wa maisha ya siku hizi.
Mfalme wa saudia ametangaza kwamba daraja linalounganisha taifa hilo na Misri litajengwa juu ya bahari ya shamu.
Rais wa Chad ambaye ni miongoni mwa
marais wa Afrika waliohudumu kwa mda mrefu mamlakani

Burundi imesafirisha mwili wa aliyekuwa waziri wa Rwanda kufuatia kifo chake cha ghafla akiwa kizuizini juma lililopita.
Mamba mkubwa mla ng’ombe ameuawa katika jimbo la Florida nchini Marekani.
Uchaguzi wa majimbo ya Afrika Kusini utafanyika Agosti tarehe 3 mwaka huu.
Jeshi la Syria limegundua kaburi
lenye mabaki ya miili kama 40 katika mji wa Palmyra, ambao ulikombolewa
kutoka kwa wapiganaji wa Islamic State, awali juma hili.
Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger amesema kuwa matamshi ya Mesut Ozil kuhusu msimu mbaya wa Arsenal hayakubaliki.
Afisa wa daraja ya juu wa Marekani, anasema wakati unapita kwa serikali ya Burundi.
Mgombea wa kiti cha urais wa
Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican Donald Trump, hana ufahamu
wowote wa sera za kigeni wala maswala ya ulimwengu!