08 Aprili 2016

Yanga kutesa nyasi na Al Ahly jijini Dar

YangaKlabu ya Young Africans itashuka dimbani kesho Jumamosi kucheza dhidi ya miamba wa Misri Al Ahly hatua ya 16 bora katika Ligi ya Mabingwa barani Afrika (CAF CL).

Mechi hiyo itachezewa uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kuanzia saa 10 kamili kwa saa za Afrika Mashariki.
Kocha wa Yanga Hans van der Pluijm, akizungumza awali, alikuwa amesema atahakikisha wanafanya maandalizi mazuri kuweza kuikabili vilivyo timu ya Al Ahly.
Yanga na Azam FC ndio wawakilishi pekee wa Tanzania waliosalia katika michuano.
Azam FC watashuka dimbani Jumapili katika uwanja wa Azam Complex uliopo saa 9 alasiri, kuwakaribisha wenyeji wa Esperance Sportive de Tunis (EST) ya Tunisa.
Kamisaa wa mchezo akiwani Joseph Nkole kutoka nchini Zambia.
Michezo ya marudiano itachezwa Aprili 19-20 mwaka huu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728