
Polisi Nchini Kenya inamtafuta Raia wa Tanzania aliyekuwa anaishi Mombasa na ndugu wawili Wakenya wanaodaiwa kuhusika na mzigo wa pembe za ndovu uliokamatwa Nchini Singapore Wiki iliyopita ukitokea Mombasa.
-Pembe za Ndovu zilizokamatwa Singapore zilikuwa na thamani ya Kshs Milioni 570