25 Mei 2015

Wahamiaji:Kaburi la pamoja lapatikana

Kaburi la pamoja karibu na kambi za wahamiaji
Utawala nchini Malaysia unasema kuwa umegundua kaburi la pamoja karibu na kambi za
kusafirisha watu kimagendo zilizoachwa karibu na mpaka kati ya nchi hiyo na Thailand.
Ripoti za vyombo vya habari zinasema kuwa makaburi hayo yaliogunduliwa wiki iliyopita huenda yakawa na takriban miili 100 inayokisiwa kuwa ya wahamiaji kutoka nchini Myanmar na Bangladesh.
Waziri wa masuala ya ndani wa Malaysia aliviambia vyombo vya habari kuwa ameshangazwa kugundua kuwa huenda kambi hizo zimekuwa eneo hilo kwa miaka mitano.
Mapema mwezi huu makaburi kama hayo yanayoaminika kuwa ya wahamiaji yaligunduliwa eneo lililo kusini mwa Thailand.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728