16 Mei 2015

Lulu Atamani Kuimba Injili

Lulu Atamani Kuimba InjiliStaa wa bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema anatamani sana siku moja  kuimba muziki wa injili kwa vile anacho kipaji cha uimbaji.
Staa huyo aliyasema hayo wakati akihojiwa  kwenye kipindi cha  televisheni cha The Sporah Show wiki hii.

“Napenda kuimba...nadhani naweza kuimba, napenda kama siku ikitokea nimekuwa muimbaji  niimbe gospel, napenda sana gospel" alisema Lulu.
Pia Lulu alisistiza kuwa yeye ni mtu mwenye hofu ya Mungu.
“I’m  God fearing  yaani namuogopa sana na namuheshimu sana Mungu sio kumuogopa peke yake. Kwahiyo pamoja na yote ninayoyafanya  imani yangu ipo palepale hata mungu anajua.
Mnanijua kwa nje , huo ndio upande mnaoujua, kuna upande wangu wa ndani na hauwezi kuujua lazimu muwe watu wa ndani sio kila mmoja anaweza kuujua”-Lulu alisisitiza.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728