25 Mei 2015

Xavi kuihama Barcelona

Xavi Hernandez
Wachezaji wa klabu ya Barcelona watavalia jezi maalum katika mechi yao ya mwisho msimu huu ili kutoa heshima kwa
kiungo wao wa kati Xavi ambaye anakamilisha uhusiano wake wa miaka 24 na klabu hiyo .
Mchezaji huo atapewa kwaheri maalum katika mechi dhidi ya Deportivo la Coruna itakayochezwa katika uwanja wa Nou Camp siku ya jumamosi.
Xavi
Xavi mwenye umri wa miaka 35 ambaye atajishindia medali yake ya nane ya la liga alitangaza siku ya alhamisi kwamba ataondoka Barcelona mwishoni mwa msimu huu ili kujiunga na kilabu ya Qatar Al Saad.
Amesema kuwa uamuzi huo umekuwa mgumu kwake

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728