28 Mei 2015

Ndikumana: Sijaachana na Irine Uwoya Ingawa Hatuishi Pamoja

Ndikumana: Sijaachana na Irine Uwoya Ingawa Hatuishi PamojaMume wa Staa wa filamu za Kibongo,Irene Uwoya, Hamad Ndikumana ‘Katauti’amesema kuwa hajaachana na msanii huyo kama ambavyo baadhi ya watu wanavyodhani.

Ndukumana ambaye ni mwanasoka kwenye klabu moja ya soka nchini Rwanda ameyazungumza hayo hivi karibuni wakati alipofanya mahojiano na mtangazaji wa Clouds TV,Zamaradi Mketema alisema kuwa ingawa hawaishi pamoja na Irene Uwoya lakini hawajaachana.
‘Sijaachana na Irene Uwoya ingawa hatuishi pamoja yeye anaishi Dar mie naishi Rwanda na bado nacheza soka ila nategemea kusomea ukocha baada ya kustaafu soka,’alisema Ndikumana.
Irene na Ndikumana walifunga ndoa mwaka 2008 na kubahatika kupata mtoto mmoja aitwaye Krish.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728