16 Mei 2015

PICHA: Wolper, Mr Blue na Nyandu Tozi, Kunani?!!

Kupitia ukurasa wake matandaoni, Staa wa Bongo Movies,  Jackqueline Wolper ameshare picha hizi akiwa na mastaa wa Bongo Fleva, Mr Blue na Nyandu Tozi na kusema kuwa wapo kazini.
Wolper hakuweza kuweka wazi kama ni Movies au Music Video....
Yote kwa yote picha hizi zimewavutia wengi mtandaoni na kupata mafuliko ya LIKES na COMMENTS za kutosha

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728