25 Mei 2015

Hamilton akumbwa na msongo wa mawazo

Lewis Hamilton,ambaye kwa sasa anadaiwa kupata msongo wa mawazo baada ya kushindwa
Bosi wa timu ya Mercedes Toto Wolff ametanabaisha kuwa dereva wa timu hiyo Lewis Hamilton ataerejea katika hali yake ya kawaida baada ya kupata mfadhaiko uliotokana na
matokeo mabaya katika mashindano ya Monaco Granda Prix.
Hamilton alijikuta akiangukia nafasi ya tatu mwishoni mwa wiki iliyopita japo kuwa anguko lake lilisababishwa na matatizo ya kiufundi katika gari alilokuwa analiendesha. ''ana hilo tatizo la msongo wa mawazo, na yupo katika harakati za kurejea kwenye hali yake ya kawaida. Inaumiza sana kupoteza mchezo ule kwa sababu ushindi ulikuwa wake, lakini sina shaka kwamba atarejea haraka kama afanyavyo siku zote" alisema bosi huyo. Mwenyewe Hamilton amesema hakuna wa kumlaum kwasababu wanafanya kazi kama timu. Kwenye ushindi huwa wote na kwenye kushindwa pia huwa wote.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728