23 Mei 2015

David Luiz:'Nimewahi kushiriki ngono'

David Luiz kushoto
Mlinzi wa klabu ya Paris St-Germain David Luiz amevishtumu vyombo vya habari kwa kukosa heshima baada ya
kukanusha madai kwamba yeye hajawahi kushiriki katika tendo la ngono.
Ripoti hizo zilianza kusambaa baada ya mchezaji huyo wa zamani wa Chelsea mwenye umri wa miaka 28 kusema katika instagram kwamba yeye na mpenziwe ''wako tayari kungojea''.
Aliiambia BBC focus kwamba.''Dini yangu,ubaatizaji wangu,nafurahia.
Watu wanasema maneno kila mahala kuhusu iwepo mimi sijawahi fanya tendo la ngono.''Ukweli ni kwamba mimi nishawahi kushiriki katika tendo hilo''.
Luiz
Aliongezea:Watu wengine katika vyombo vya habari hawaheshimu maisha ya watu.
Mimi ninawaheshimu wenzangu kwa hivyo sina bughudha ya aina yoyote.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728