28 Mei 2015

Wakili nchini Kenya kuwa mkwe wa Obama?

Taarifa kuwa wakili mmoja wa kenya amesema yuko tayari kutoa mahari kwa mtoto wa raisi wa Marekani,Barrack Obama zimeenea duniani kote Felix Kiprono amesema yuko tayari kutoa ng'ombe 50,kondoo 70 na mbuzi 30 kwa ajili ya mahari ya mtoto wa Obama,Malia Obama.Hivyo anajiandaa kuzungumzia swala hilo na
baba wa mtoto huyo atakapo tembelea Kenya ,mwezi Julai.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728