23 Mei 2015

Lulu: Wanaonipenda Kweli, Wanafiki na Wale Baby Baby NAWAJUA

Lulu: Wanaonipenda Kweli, Wanafiki na Wale Baby Baby NAWAJUAStaa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameandika haya kwenye ukurasa wake mtandaoni, bila shaka na wewe ANAKUJUA.

Mnaonipa Moyo na Kunipenda kiukweli....NAWAJUA
Wakuongea Nao Ya Moyoni....NAWAJUA
Wale wa kuni baby baby on IG kumbe Hakuna lolote....NAWAJUA
Wale mnajifanya shoulders to cry on ili mpate kunijua kirahisi...NAWAJUA ila SIWEZI KUWAPA HIYO CHANCE AISEEE...I'm Soleeeeee
Wale tunaochekeana kinafki...NAWAJUA I hope MNANIJUA PIA yani TUNAJUANA
Wale Waukweli kbsa 
....NAWAJUA
Wale wa kuwaamini na wale wa kutowaamini....NAWAJUA
Wale mlio karibu yangu kwa sababu Fulani....NAWAJUA na msiniamini sana Hata mm nimewaruhusu kuwa Karibu yangu kwa sababu zangu flani
Kwa ufupi tu....JUA NAKUJUA
TafakariChukuaHatua
OkyBye"-Lulu on Instagram

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728