Filamu ya Kauva inatarajia kuleta mapinduzi katika tasnia ya filamu kutokana na Teknolojia iliyotumika katika utengenezaji uigizaji na wasanii walioshiriki katika filamu hiyo kuigiza wameonyesha ushindani mkubwa sana anasema msemaji wa Splash Steve Serengia.
“Ni kazi ambayo imetengenezwa na kutedewa haki na wasanii walioigiza kama unavyomjua Baba Haji na amekutana na Jack Wolper huku kuna Hashim Kambi si mchezo na inasambazwa na Splash Entertainment,”anasema Steve.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni