12 Julai 2015

Man United kumsajili Matteo Darmian

Matteo_Darmian
Kocha wa kilabu ya Manchester United Louis Van Gaal amethibitisha kuwa beki wa kilabu ya Torino Matteo Darmian atafanyiwa ukaguzi wa matibabu kabla ya
kuhamia kilabu hiyo kwa pauni milioni 12.9.
Mshambuliaji wa Manchester united Robin Van Persie tayari anaendelea na mazungumzo na kilabu ya Fenerbahce na Van Gaal anasema:Iwapo tutahisi anaendelea vyema tutasema,lakini kufikia sasa hatuna hisia hiyo.
Kuhusu uhamisho,aliongezea:''Nilisema mwishoni mwa msimu uliopita kwamba ununuzi wa wachezaji na uuzaji ni hatua.Hatua hiyo huendelea hadi mwezi Septemba.''Naona kama uhamisho huo unachukua mda mrefu.Nimesema hivyo mara nyingi.hatahivyo tunaendelea vyema''.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728