06 Julai 2015

Kumekucha Tena Tuzo Kubwa za Nyuka Zipo Tayari Sasa!

Kumekucha Tena Tuzo Kubwa za Nyuka Zipo Tayari Sasa!
TUZO kubwa zijulikanazo kwa jina la NYUKA FILM AWARDS zipo tayari kwa ajili ya kutolewa kwa wanatasnia ya filamu Swahilihood hivi karibuni mwezi huu wa saba mwisho, ni tuzo zilizolenga kutambua mchango wa filamu zinazotumia Lugha ya
Kiswahili katika kukitangaza na kuunganisha mataifa.
Filamu iliyorekodiwa na kutumia Lugha ya Kiswahili inahusika kushirika na kuchukua tuzo zilizoandaliwa zaidi ya miaka mitatu kuanzia kufanya utafiti katika kujenga tuzo zenye hadhi na heshima Barani Afrika, sehemu kubwa ambayo inaifanya Lugha hii kuwa ni kiungo muhimu katika mawasiliano anasema mratibu wa tuzo hizo.
“NYUKA FILM AWARD. ni tuzo za kimataifa zinategemewa kufanyika jijini Dar es salaam Tanzania mwishoni mwa mwezi wa Saba mwaka 2015.
Tumeanza kupokea kazi kuanzia tarehe 4/04/2015 na Mwisho ulikuwa 30/06/2015 kwa sasa unaweza kutembelea kwenye tovuti ya www.nyuka.com nakupata taratibu nyengine,” anasema Mfate mratibu wa tuzo hizo.
NYUKA FILM AWARDS CATEGORIES:-
1. BEST ACTRESS IN SUPPORTING ROLE
2. BEST ACTOR IN SUPPORTING ROLE
3. BEST ACTRESS IN LEADING ROLE
4. BEST ACTOR IN LEADING ROLE
5.BEST MALE COMEDIAN.
6. BEST UPCOMING ACTOR
7. BEST UPCOMIN ACTRESS
8. BEST FILM DIRECTOR
9.BEST FILM EDITOR
10.BEST CINEMATOGRAPHER
11. BEST MAKEUP ARTIST
12.BEST VISUAL EFFECTS
13.BEST ADAPTED SCREENPLAY
14.BEST ORIGINAL SCREENPLAY
15. BEST FILM OF THE YEAR
16. MOST POPULAR ACTOR
17. MOST POPULAR ACTRESS
18. LIFE TIME ACHIEVEMENTS AWARDS
19. BEST FEMALE COMEDIAN
2O. BEST ORIGINAL SONG

Tuzo hizi zinashirikisha filamu zote zilizotengenezwa kwa kutumia lugha ya kiswahili bila kujali zimetengenezwa nchi gani.Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Fadhili Mfate Mratibu wa tuzo hizi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728