12 Julai 2015

El Chapo Guzman atoroka jela Mexico

El Chapo Guzman atoroka jela Mexico
Aliyekuwa kiongozi wa moja ya makundi makubwa zaidi ya yanayoendesha biashara za madawa ya
kulevya nchini Mexico Joaquin El Chapo Guzman ametoroka kutoka gereza moja lenye ulinzi mkali .
Alitoroka kutoka gereza la Altiplano nje ya mji mkuu wa Mexico City
Maafisa wanasema kuwa shughuli za kumtafuta zinaendelea na safari za ndege kutoka uwanja ulio karibu zimesimamishwa. Hii Ndiyo mara ya pili Guzman anatoroka kutoka gerezani.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728